Moja ya janga kubwa linalo husu mafuriko barani Afrika katika miaka ya hivi karibuni, lili tokea wakati upande wa Mlima Sugar Loaf ulipo vunjika jumatatu iliyo pita, baada ya mvua kali kunyesha, nakuzika sehemu za eneo la Regent Town pamoja naku fanya juhudi za uokoaji kuwa ngumu, katika moja ya nchi masikini zaidi duniani.
Ongezeko la idadi ya vifo katika poromoko la ardi ya zua maswali yasiyo na majibu kwa serikali ya Sierra Leone
Wafanya kazi wachimba makaburi ya walio fariki katika poromoko la ardi, Waterloo, Sierra Leone Source: Picha: AAP
Mchunguzi mkuu wa vifo wa Sierra Leone, amesema wafanyakazi wa uokoaji wame fukua miili takriban 500, tangu maporomoko ya ardhi yalipotokea wiki iliyo pita karibu na mji mkuu wa Freetown.
Share




