Kiongozi wa NSW Gladys Berejiklian akizindua mradi wa masomo ya lugha pamoja na watoto kutoka tamaduni tofauti Source: SBSMoja ya jimbo nchini Australia lenye tamaduni nyingi zaidi, lime fanya uwekezaji wa mamilioni ya dola kwa madarasa ya lugha katika jamii.
Published
Updated
By Omar Dabbagh
Presented by SBS Swahili, Frank Mtao
Source: SBS
Skip to podcast episode content
Share this with family and friends
Moja ya jimbo nchini Australia lenye tamaduni nyingi zaidi, lime fanya uwekezaji wa mamilioni ya dola kwa madarasa ya lugha katika jamii.
Wanafunzi hao hufunzwa na walimu elfu mbili mia tano.
Idadi ya wanafunzi elfu 34 jimboni NSW hujifunza lugha ya pili baada ya masaa ya shule.
Kiongozi wa NSW ame ahidi kuwa wanafunzi wote katika mradi huo, watapewa msaada wakutosha.