Utafiti mpya kuhusu swala la mshikamano wakijamii kati ya watu ambao wali zaliwa nchini Australia na wa Australia ambao ni wahamiaji, ume baini kuna maoni chanya nchini kuhusu wahamiaji pamoja na maadili yanayo changiwa na kila mtu nchini.
Ripoti hiyo ime baini pia kuwa wanajumuiya waki Afrika na waislamu, wame ripoti visa vingi vya ubaguzi wa rangi.
Share
