Sawia na mashirika mengine yanayo toa huduma kwa jamii, GLAPD lina malengo pamoja na miradi ambayo huendesha kwa faida ya jamii wanachama.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Mkurugenzi Mtendaji wa GLAPD Bw Musoni, alifunguka kuhusu miradi ambayo shirika lake ime fanya mwaka huu, baadhi ya changamoto na mafanikio waliyo pata pamoja na miradi ambayo jamii inastahili tazamia katika mwaka ujao.
Kwa taarifa zaidi kuhusu miradi na kazi za GLAPD katika jamii, bonyeza hapa: www.glapd.org.au