Muundo mpya wasema wadhibiti wanastahili fanya biashara ya umeme iwe rahisi kwa watumiaji

Solar panels are seen on the rooftops of houses in The Ponds, north west of Sydney, Tuesday, October 17, 2017. (AAP Image/Dan Himbrechts) NO ARCHIVING

Labor will provide subsidies for batteries for households to store energy from solar panels. Source: AAP

Muundo mpya wa data iliyopo, imetoa taswira ya siku zijazo ambako, kila paa ya nyumba itakuwa na kifaa cha solar, hatua ambayo itawaruhusu wa Australia kufanya biashara ya umeme nakupiga jeki bajeti za nyumba zao.


Data hiyo inasema kuwa wadhibiti wanahitaji fanya biashara ya umeme iwe rahisi, ili nyumba na biashara nchini ziweze uza uzalishaji wa ziada wakati wa masaa asubuhi na mchana hadi wakati wa kilele wa mahitaji ya matumizi jioni.

Fikiria ulimwengu ambao kila nyumba ina vifaa vya solar, kuna gari inayo tumia umeme ndani ya gereji na mabwawa yakuogelea yanapashwa joto kwa nishati mbadala.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa zaidi.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Muundo mpya wasema wadhibiti wanastahili fanya biashara ya umeme iwe rahisi kwa watumiaji | SBS Swahili