Wataalam wakubuni miji wanasema maisha yanahatarishwa, kwa sababu ya ukosefu wamipango katika maeneo yamafuriko, na wanaomba mageuzi kwa majengo ambayo yako katika nyanda za mafuriko.
Huduma ya dharura ya jimbo la NSW inayo julikana pia kama S-E-S, imeonya kuhusu hatari zinazo husiana na mafuriko katika maeneo ya chini.
Rob Stokes ndiye waziri wa mipango wa jimbo la New South Wales, amesema maombi kadhaa ya ujenzi yamekataliwa kwa sababu ya wasiwasi yamafuriko.
Share






