Ni wakati wa kodi. Hiyo inamaana kwamba mwaka wa fedha wa 2015 - 2016 una karibia kuisha.
Ni wakati wa kusanya rekodi za kodi, kwa hiyo kila mtu nchini anafursa yaku wasilisha fomu za kodi.
Kusaidia katika mchakato huu, Ofisi ya Kodi ya Australia ama ATO kwa ufupi, hutoa msaada wa mifumo ya kuwezesha watu kujua jinsi watatekeleza mchakato wa kujaza fomu ya kodi.
Share
