Australia haiwezi kabiliana na msimu mubaya zaidi wa moto wa vichaka, bila juhudi za wazimamoto wakujitolea wapatao 260,000.
Baraza la taifa la huduma ya moto na dharura, imetoa wito kwa watu wajitolee kutoka mazingira tofauti wajisajili, ili waweze hudumia vizuri umma yetu ya tamaduni tofauti.
Share





