Naibu Waziri Mkuu awashambulia wanaharakati wa mazingira nakuwaita wehu wa mjini

Naibu Waziri Mkuu Michael McCormack akutana na maafisa wazimamoto na huduma za dharura wa Queensland

Naibu Waziri Mkuu Michael McCormack akutana na maafisa wazimamoto na huduma za dharura wa Queensland Source: AAP

Mgogoro wa moto wa vichaka unao endelea katika majimbo ya New South Wales na Queensland, umezua vita vya maneno kisiasa kuhusu kama kutokuchukua hatua kwa mabadiliko ya tabianchi kumesababisha janga hilo.


Naibu waziri mkuu amewakashifu wakosoaji wa sera zake, akisema ni wehu wanao ishi katika maeneo ya ndani ya jiji.

Ila madai hayo yame wakasirisha wanao athiriwa moja kwa moja na janga hilo la moto.

Hata hivyo, inaonekana kama siasa za mabadiliko ya tabianchi, zitaendelea kuchemka katika msimu wa majira ya joto, wakati tisho la moto wa vichaka likiendelea kuongezeka.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service