Hata hivyo, ni taarifa gani ambazo wazazi hao hupewa, kuhusu sehemu watoto wao wana enda, pamoja na changamoto ambazo watoto wao watakabiliana nazo wakiwa mbali ya familia zao?
Nancy K Birgen: "Nga'mbo/majuu si Mbinguni"

Mwanafunzi atekwa kwa mawazo nje ya darasa Source: Getty Images
Wazazi wengi hujitahidi kuwatuma watoto wao ng'ambo, kufanya elimu ya juu kwa matumaini kuwa watoto hao watafanikiwa nakusaidia familia zao pia.
Share




