Kuna ongezeko la wabunge wa chama cha Nationals wanao taka uchunguzi kwa benki za Australia, licha ya hatua hiyo kuwa kinyume na sera ya serikali.
Seneta wa Queensland Barry O'Sullivan anataka kuwasilisha mswada binafsi bungeni, na ana amini ana kura zakutosha kupitisha muswada huo.
Share






