Miaka 48 baadae, harakati zakufuzu kwa kombe la dunia katika kanda hilo zina endelea bila mafanikio.
Kujua sehemu nchi za kanda hilo zinakwama katika juhudi zao zakufuzu kwa kombe la dunia, mchambuzi wamichezo wa SBS Swahili Frank Mtao aliweka wazi baadhi ya matatizo yanayo kumba mataifa hayo yanapo jaribu kufuzu kwa kombe la dunia.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.