SBS Swahili ilizungumza na mashabiki pamoja na wachezaji na wakufunzi wa timu ya Tanzania punde baada ya mechi hiyo kukamilika.
Ndoto za Tanzania zagonga mwamba uwanjani

Wachezaji wa timu ya Tanzania katika michuano ya kombe ya Afrika ya Sydney, NSW Source: ANSA African Cup2019
Timu ya soka ya Tanzania ili ingia katika robo fainali ya kombe la Afrika la Sydney, ikiwa na matumaini mengi.
Share