Karibu wanawake wote hujihisi hawako salama katika miji kwa sababu ya unyanyasaji wa kijinsia

Pedestrians walk through Sydney's Circular Quay precinct Source: AAP
Utafiti mpya umebaini kuwa, idadi kubwa ya wanawake wadogo na wasichana duniani kote, wanajihisi hawako salama mijini kwa sababu ya unyanyasaji wa mara kwa mara, na mara nyingi, unyanyasaji wa kijinsia. Mpango wa Shirika la misaada wa Kimataifa unasema matokeo haya yanaonyesha mitaa ya jiji na usafiri wa umma ni sehemu zinazohitaji uangalizi. Frank Mtao anatutaarifu zaidi.
Share




