Ndege hiyo ilikuwa ni aina ya Boeing 737 MAX-8, ambayo ni ndege mpya inayokabiliwa kwa ukosoaji mwingine, baada ya ndege nyingine kama hiyo kuhusika katika ajali katika kipindi cha muda wa miezi sita.
Muundo wa Ndege mpya ya Boeing wachunguzwa baada ya ajali kubwa iliyogharimu maisha

Mabaki ya ndege ya Ethiopian Airlines Boeing 737 Max 8, iliyo anguka iki elekea Nairobi (AAP) Source: AAP
Ndege ya shirika la ndege la Ethiopia, ilipata ajali, dakika sita baada yakupaa angani kutoka uwanja wa ndege wa mji mkuu, nakupelekea vifo vya watu wote waliokuwemo ndani.
Share




