Kiongozi mpya wa dini ya Waislamu azungumzia vipaumbele vyake

Kiongozi mpya wa dini lawa Islamu nchini Australia Sheikh Abdel Aziem al-Afifi azungumza katika ibada Source: SBS
Kiongozi mkuu wa Waislamu wa Australia amesema anatumai kuwa kuwaweka vijana kuwa kipaumbele katika kazi yake, kiongozi huyo ameelezea vipaumbele vyake anapojiandaa kuanza wadhifa wake.
Share




