Bila shaka licha ya maendeleo hayo, baraza la saratani nchini lina endelea kuwakumbusha wananchi kuwa kuzuia ungonjwa kabla hauja kupata nimuhimu kuliko kupokea matibabu.
Tumaini jipya laku zuia usambaaji wa saratani ya ngozi
Taasisi ya utafiti wa saratani ya ngozi Source: SBS
Watafiti nchini Australia wame tangaza mafakio katika jaribio laku tibu melanoma, tangazo hilo lime ongeza matumaini kwa wanao athiriwa kwa saratani ya ngozi.
Share




