Shirika la GLAPD Int lawakaribisha viongozi wapya

Kamati mpya ya shirika la GLAPD Int Source: SBS Swahili
Shirika la Great Lakes Agency for Peace and Development International (GLAPD Int), liliandaa mkutano maalum ambako miongoni mwa ajenda ya mkutano huo, uchaguzi wa viongozi wapya ulifanywa. SBS Swahili ilizungumza na viongozi wapya wa shirika hilo, punde baada ya mkutano huo kukamilika.
Share




