Utafiti wa waaustralia elfu mbili ambao ni waajiriwa, ume baini kuna uwezekano mkubwa wanawake hukabiliana na matatizo yakifedha kuliko wanaume, na wazazi wasio na wachumba huathiriwa zaidi.
Kwa mujibu wa data katika ripoti ya ustawi wa fedha iliyo chapishwa na kampuni ya huduma zakifedha maarufu kwa ufupi kwa jina la AMP, ripoti hiyo imechapishwa wakati tume ya uchunguzi ya huduma zakifedha kwa sasa ina chunguza kazi ya wakopeshaji wadanganyifu.
Share






