Bunge la taifa litakapo fanya kikao cha kwanza jumanne tarehe 30 Agosti, serikali ita kabiliana na seneti yenye wanachama wengi kutoka vyama vingi vidogo katika historia ya Australia.
Maseneta wapya wapatao 14 wame kuwa mjini Canberra wiki hii, wakipokea mafunzo kuhusu jinsi nyumba ya juu hutumika kabla ya biashara ya siasa kuanza wiki ijayo.
Kuna uwezekano mamlaka ya masenata hao, yata jaribiwa mapema kuliiko ilivyo tarajiwa.
Share
