Waziri Mkuu wa Australia amezindua baraza lake mpya la mawaziri mjini Canberra, baada ya mkutano wa kwanza wa chama cha mseto tangu uchaguzi mkuu ulipo kamilika.
Katika mabadiliko ya mawaziri, Greg Hunt atakuwa waziri wa viwanda, sayansi na ubunifu wakati Christopher Pyne, amepewa uongozi wa wizara mpya wizara hiyo ikiwa ni wizara ya ulinzi.
Share
