Mwaka mpya waja na sheria mpya

Waziri Mkuu wa Australia Scott Morrison afanya ziara katika shamba jimboni Queensland

Wafanyakazi wa misimu kupewa fursa yaku fanya kazi kwa muda mrefu zaidi, katika maeneo yama jimbo kupitia mageuzi ya sheria. Source: AAP

Mwaka mpya huja na sheria na kanuni mpya.


Kutoka kodi ya vifaa vya usafi binafsi vya wanawake hadi, mapato ya vijana na kodi ya mapato binafsi, hizi ni baadhi ya sheria mpya ambazo zime ratibiwa kuanza kutumiwa mwaka huu wa 2019.

 

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service