Mjadala wa Newstart:"Ni aibu kwa watu kulala njaa nchini Australia"

Source: Getty
Wakati shinikizo linaendelea kuongezeka kwa serikali, iongeze kiwango cha mafao hayo yakutokuwa na ajira, wanachama wengi katika jamii mpya nchini, wanashangaa jinsi watu wanaweza lala njaa katika nchi tajiri kama Australia.
Share