Mtayarishaji wetu mkuu wa michezo Frank Mtao, alizungumza na mdau wa mchezo Bw Bob kuhusu yaliyo shuhudiwa viwanjani.
Nigeria watupwa nje ya michuano ya kombe la Afrika

Kiungo wa Nigeria Alex Iwobi, apewa kandi nyukundu katika mechi dhidi ya Tunisia Source: AFP
Mitetemeko ya ardhi ilishuhudiwa katika wikendi ya spoti kote duniani, vichapo vilitolewa ambako havikutarajiwa na ushindi kuwaponyoka walio utarajia.
Share