Hundreds rally outside NSW parliament in support of the bill. And independent Sydney MP Alex Greenwich (right) addresses the crowd. Source: AAPBaada ya wiki kadhaa ya mijadala za kisiasa na maandamano ya umma, NSW imekua jimbo la mwisho nchini Australia kuhalalisha utoaji mimba.
Published
By Lydia Feng
Presented by Gode Migerano, Mercy Baliat
Source: SBS
Skip to podcast episode contentShare this with family and friends
Baada ya wiki kadhaa ya mijadala za kisiasa na maandamano ya umma, NSW imekua jimbo la mwisho nchini Australia kuhalalisha utoaji mimba.
Wabunge walisherehekea kwa kupiga makofi na mbwe mbwe, muswada huo ulipotolewa kutoka kwa sheria ya jinai, nakupitishwa bungeni.
Muswada huo wakutoa mimba sasa unaelekea kwa gavana wa NSW, ambaye atautia saini hatua itakayo fanya muswada huo kuwa sheria rasmi.