Jamii yawarundi wa NSW waadhimisha miaka 56, ya uhuru wa nchi yao ya asili na tamasha ya tamaduni yao

Wanachama wa jamii yawarundi wanao ishi mjini Sydney, wachangia maoni yao kuhusu maadhimisho ya miaka 56 ya nchi yao ya asili pamoja na tamasha ya tamaduni yao Source: SBS Swahili
Jamii yawarundi wa NSW waliadhimisha miaka 56 ya uhuru wa nchi yao ya asili mjini Sydney, pamoja nakuchangia tamaduni zao na wageni walio hudhuria tukio hilo. Baadhi yao wali changia maoni yao kuhusu maadhimisho hayo na SBS Swahili.
Share




