Jamii ya Wanyarwanda wa NSW ya adhimisha miaka 24 ya mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi

Jamii ya wanyarwanda na viongozi wa NSW Source: SBS Swahili
Wanachama wa jamii ya wanyarwanda wa NSW walijumuika katika jumba la ukumbusho la wayahudi mjini Sydney, katika ibada ya kumbukumbu ya 24 ya mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi nchini Rwanda. Kiongozi wa jamii na mmoja wa wahanga watukio hilo, wali eleza SBS Swahili hisia zao za siku hiyo.
Share




