Ni nadra kwa mtu anaye andika kitabu kwa mara ya kwanza, kuona kizi yake ina orodheshwa katika orodha ya tuzo za Historia ya Waziri mkuu wa NSW.
Mwaka huu kitabu cha: One Thousand Hills kilicho andikwa na James Roy na Noel Zihabamwe, kili orodheshwa katika tuzo hizo. Kitabu hicho kina husu hadithi yaku tungwa kuhusu vijana wakati wa mauaji ya kimbari ya mwaka wa 1994 nchini Rwanda.
SBS Swahili ili hudhuria sherehe hizo, ambako tulipata fursa yaku zungumza na Bw Noel, muda mfupi baada yaku tangazwa mshindi wa mwaka huu wa 2016.
Share
