Hiyo ni kulingana na uchambuzi mpya wa Proptrack wa matangazo ya nyumba zaku kodi kwenye tovuti yao ya Realestate.com
Madhara ya hali hiyo haya sikiki tu katika miji mijuu. Mahitaji yakudumu na usambazaji unao pungua.
Hiyo ni hesabu ngumu inayo wakabili wapangaji, wakati idadi ya nyumba zaku kodi zinazo tangazwa zina endelea kupungua.
Ongezeko ya kodi ni wasiwasi mwingine kwa watu wengi ambao tayari wana kabiliana na ongezeko ya gharama ya maisha.