Ndoto zetu zime timia
Mashabiki wa Arsenal FC uwanjani Source: Picha: SBS Swahili
Mashabiki wa Arsenal FC walijitokeza kwa ma mia yama elfu kutazama mechi ya vigogo hao wa ligi kuu ya Uingereza mjini Sydney dhidi ya Western Sydney Wanderers. SBS Swahili ilihudhuria mechi hiyo naku zungumza na baadhi ya mashabiki hao, wengi wao ambao ndoto zao zaku hudhuria mechi za Arsenal zilipata jawabu wiki hii mjini Sydney, Australia.
Share




