Katika mazungumzo maalum na mkaaji wa Shepperton Bw Papi, SBS Swahili ime arifiwa yaliyo wafikia wakaaji wa mji huo, changamoto wanazo kabiliana nazo kwa sasa pamoja na misaada wanaya pokea kutoka kwa serikali ya jimbo na masharika mengine ambayo hutoa misaada kwa jamii.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.