Maswala ya uraia na uchumi ya tawala muhula mpya wa bunge

Waziri Mkuu Malcolm Turnbull katika kipindi cha maswali na majibu ndani ya bunge la taifa Source: AAP
Maandamano yaku zuia kazi ya kampuni ya madini Adani pamoja na ibada kanisani vili tangulia hafla yaku fungua bunge mwaka huu wa 2018. Punde baadae maswala nyeti yaliyo ikabili bunge na taifa mwaka jana yali ibuka tena ndani ya bunge la taifa.
Share




