Mchungaji Ngugi Ngotho aongelea Pasaka

Source: Gode
Wakristo kote duniani, wamesherehekea vyema sikukuu ya Pasaka. Lakini usherehekeaji wa jumuiya za Waafrika Mashariki kwa hapa Australia ukoje? Mwandishi wetu Gode Migerano alifanya mazungumzo na Mchungaji Ngugi Ngotho ambaye alikuwa na haya ya kusema... ...
Share