Patrick ni mmoja wa waandishi wa kitabu cha Survivors Uncensored, katika mahojiano maalum baada ya kitabu alicho shiriki kuandika kuchapishwa alifunguka kuhusu gharama anayo lipa kwa ajili ya uhuru wake wakuzungumza.
Bw Patrick asisitiza kuwa: "Hata nikifa kesho, watu wengine watajua niliyo pitia kupitia hadithi yangu ndani ya kitabu cha Survivors Uncensored."
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili na Bw Patrick. Na kama ungependa soma kitabu cha Survivors Uncensored, unaweza kipata kwenye tovuti hii: https://www.amazon.com/SURVIVORS-UNCENSORED-TESTIMONIES-PRE-RESILIENCE/dp/B0B5KQSKQ8