Jamii yawa Kenya ilikutana kuadhimisha michango ya mashujaa, walio pigania uhuru wa nchi yao ya asili.
Mjini Sydney Australia, Patrick Muraguri alipewa heshima yakuchaguliwa kuwa shujaa wa mwaka, na wanachama wa jamii wenza, kwa huduma anayo toa katika jamii yawa Kenya mjini Sydney.
Bw Muraguri alieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS muda mfupi baada yakupewa tuzo yake, kuhusu huduma anayo toa kwa jamii pamoja na mipango yake kwa jamii yake katika siku za usoni.
Share





