Mradi huo unakabiliwa na ukosoaji mkali kuwa ume feli kushughulikia sababu zinazo sababisha utofauti katika jamii.
Serikali ya Turnbull ime tenga dola milioni 96 kwa mradi unao lenga maelfu ya watu, ambao huenda wakasalia katika miradi ya msaada wa mapato kwa muda mrefu, kwaku jaribu kuingilia kati hali hiyo mapema.
Share
