Bw Morrison ametetea mfumo tata wakulipiza madeni maarufu kwa jina la robodebt, baada ya mwanasheria mmoja kutangaza kuwa anachunguza kama mfumo huo si halali.
Waziri mkuu atetea mfumo tata wa Centrelink wakudai madeni wa 'robodebt'

Bango la Centrelink nje ya ofisi Source: AAP
Waziri Mkuu Scott Morrison amesema serikali inataka boresha jinsi inalipiza madeni ya ustawi, serikali imeongezea kuwa chama cha Labor kina ongezea chumvi kiwango cha malalamishi dhidi ya mfumo huo.
Share