Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Waziri Mkuu Malcolm Turnbull auza mpango mpya wakuhamisha wakimbizi Marekani

Waziri Mkuu Malcolm Turnbull akiondoka katika mahojiano na waandishi wa habari mjini Sydney, Australia.
Waziri Mkuu Malcolm Turnbull akiondoka katika mahojiano na waandishi wa habari mjini Sydney, Australia. Source: AAP

Waziri Mkuu Malcolm Turnbull amekuwa akiuza mpangilio mpya wakuhamisha wakimbizi Marekani, ila hajataja idadi ya wakimbizi hao watatumwa, au hata kama mpangilio huo utapona utawala wa Donald Trump utakao anza rasmi mwezi Januari mwaka kesho.

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS

Share this with family and friends

Waziri Mkuu Malcolm Turnbull amekuwa akiuza mpangilio mpya wakuhamisha wakimbizi Marekani, ila hajataja idadi ya wakimbizi hao watatumwa, au hata kama mpangilio huo utapona utawala wa Donald Trump utakao anza rasmi mwezi Januari mwaka kesho.

Waziri Mkuu amesema mkataba huo uliafikiwa na utawala wa Obama miezi kadhaa iliyo pita na swala hilo, halija jadiliwa na Bw Trump.

Bw Turnbull ameongezea kuwa serikali ina jadiliana na utawala mmoja kuhusu mpango huo.

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now