Waziri Mkuu ampa Linda Reynolds uwaziri, baada ya mawaziri wawili kujiuzulu

Waziri wa Ulinzi Christopher Pyne akiwa nje ya ofisi ya eneo bunge lake katika kitongoji cha Magill, Adelaide

Waziri wa Ulinzi Christopher Pyne akiwa nje ya ofisi ya eneo bunge lake katika kitongoji cha Magill, Adelaide Source: AAP

Mawaziri wawili wa shirikisho wame tangaza wata staafu kabla ya uchaguzi mkuu ujao.


Wabunge wa chama cha Liberal Christopher Pyne na Steve Ciobo, wame ongezea orodha ya idadi yamawaziri ambao hawata wania uchaguzi tena katika maeneo bunge yao.

Bw Pyne ata salia katika wadhifa wake ndani ya baraza la mawaziri hadi uchaguzi mkuu ujao, wakati seneta wa magharibi Australia Linda Reynolds, ata ongoza wizara ya sekta ya ulinzi.

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service