Baadhi ya wabunge wa chama chake wana amini, tisho la tume ya uchunguzi lita fanya wanao uza umeme wapunguze gharama.
Ila, BwTurnbull amesema Australia imeshuhudia tahari gharama ghali za umeme. Pendekezo lolote, lita hitaji msaada wa chama cha Labor.
Hata kama chama hicho kime unga mkono uchunguzi katika sekta ya mabenki, chama hicho kina amini hakuna nia yakuwa na uchunguzi huo.
Upinzani umesema serikali ya Turnbull, inastahili toa ripoti hiyo ya ACCC mara moja, kuonesha kwa nini tume ya uchunguzi inahitajika.