Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Waziri Mkuu Turbull asema SBS ni mfano wa mkakati mzuri wakukuza utafauti nchini Australia

Waziri Mkuu Malcolm Turnbull akizungumza katika kongamano la wakimbizi na wahamiaji ndani ya makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York
Waziri Mkuu Malcolm Turnbull akizungumza katika kongamano la wakimbizi na wahamiaji ndani ya makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York Source: AAP

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Bw Turnbull alitoa madai hayo alipo hotubia kongamano la umoja wa mataifa, ambalo lilikuwa liki jadili mgogoro wakibinadam na wakimbizi. Hali hiyo imetajwa kuwa mbaya zaidi tangu vita vya pili vya ulimwengu. Bw Turnbull amehamasisha jumuiya yakimataifa, iwekeze katika utofauti kwa sababu inaweza kabiliana na ubaguzi na itikadi kali.

Katika hotuba yake ndani ya makao makuu ya umoja wa mataifa mjini New York, Waziri Mkuu alieleza wajumbe kuwa Australia ni taifa la wahamiaji.

 

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now