Madai hayo yamelitikisa jeshi la polisi la Tanzania, hatua ambayo imepelekea mashirika kadhaa ya utetezi wa haki za binadam kutaka uchunguzi wa haraka kufunywa dhidi ya wahusika.
Shutuma hizo zilitolewa wakati wa mkutano wa hadhara, na kamishna wa polisi wa wilaya ya Handeni, katika mkoa wa Tanga wiki iliyopita.