Waziri Mkuu na kiongozi wa upinzani, kwa kauli moja wame sema hilo ni swala linalo leta vyama tofauti vyaki siasa pamoja.
Viongozi wakisiasa wapigia debe ndoa za wapenzi wa jinsia moja
Kiongozi wa upinzani Bill Shorten kwenye mkutano waku tetea ndoa za wapenzi wa jinsia moja Source: AAP
Viongozi wakisiasa nchini, wanaendelea kupigia debe kura ya ndio katika kura ya maoni kwa posta, yaku idhinisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja.
Share
