Kwa upande wake, chama cha Labor kilitumia kikao cha kwanza cha bunge, baada ya mapumziko ya wiki tano, kuishinikiza serikali kwa hali ya uchumi wa taifa.
Wanasiasa warejea bungeni kutoka mapumziko ya majira ya baridi, nakupata ombi wafanyiwe vipimo vya mihadarati

Seneta Jacqui Lambie azungumza na waandishi wa habari ndani ya bunge. Source: AAP
Serikali ya Morrison inaendelea kupoteza ushawishi, kwa mpango wake waku lazimisha vipimo vya mihadarati kwa wapokeaji wa malipo ya ustawi, baada ya seneta huru Jacqui Lambie kuzua wasi wasi kuhusu uhaba wa huduma zinazo ungwa kwa mpango huo.
Share