Hatua hiyo ime punguza gharama ya dawa hiyo hadi chini ya dola elfu arobaini, kila wiki tatu.
Dawa ambayo inaweza okoa maisha ya wagonjwa wa saratani yaongezwa katika mfumo wa mafao ya madawa (PBS)

Alison Beninati ashika dawa ya Keytruda inayo tumiwa kutibu ugonjwa wa Hodgkins Lymphoma Source: AAP
Dawa ambayo inaweza okoa maisha ya wagonjwa wanao kabiliwa kwa saratani, ambayo kabla iliwalazimisha wengi wao kuwekeza angalau dola laki mbili kuipata, kwa sasa ita tolewa kwa umma kupitia uwekezaji wa serikali.
Share




