Wakati jimbo la kusini Australia lina jiandaa kukabiliana na wimbo lingine la joto, kuanzia tarehe 11 januari, mamlaka jimboni humo wame shauri watu wawe makini.
Nyuzi joto zinatarajiwa kugonga viwango vya katikati ya nyuzi joto arobaini, katika sehemu za kaskazini ya jimbo hilo wiki ijayo, wakati afueni kidogo inatarajiwa tu wikendi ijayo.
Share






