Kujua kwa nini waumini wengi hujumuika katika sehemu za ibada wakati wamatukio yakidini, SBS Swahili ilizungumza na Mchungaji Ngugi ambaye huongoza kanisa lawa Afrika mjini Sydney, Australia.
Mchungaji Ngugi na kanisa lake, wana andaa sherehe maalum ya pasaka tarehe 10 Aprili 2023, katika bustani ya Holroyd Gardens, Merrylands, NSW.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.