Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Maswali yaibuka kuhusu hatma ya wafungwa kituo cha Manus kitakapo fungwa

Waomba hifadhi ndani ya kizuizi Kisiwani Manus, PNG 2014
Waomba hifadhi ndani ya kizuizi Kisiwani Manus, PNG 2014 Source: Eoin Blackwell / AAP

Maswali yame ibuka kuhusu hatma ya mamia yawaomba hifadhi na wakimbizi ambao wako ndani ya kizuizi nchini Papua New Guinea, baada yaku fungwa kwa kituo hicho.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Maswali yame ibuka kuhusu hatma ya mamia yawaomba hifadhi na wakimbizi ambao wako ndani ya kizuizi nchini Papua New Guinea, baada yaku fungwa kwa kituo hicho.


Serikali za Australia na PNG zilifanya tangazo hilo baada ya mahakama kuu ya PNG, kuamua kwamba kizuizi cha Kisiwa cha Manus kinakiuka katiba ya PNG.

Pamoja na shinikizo toka kwa umma na kisheria kwa Australia kupata suluhu endelevu na salama kwa wafungwa hao.

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now