Na wakati kura ya posta kwa swala la ndoa za wapenzi wa jinsia moja ina subiriwa, utafiti ume onesha vijana kutoka kundi la LGBTI* ni moja ya kundi ambalo linalengwa mtandaoni.
Rasilimali mpya yatolewa kuwasaidia vijana kukabiliana na ubaguzi wa rangi na chuki mtandaoni
Rasilimali mpya yakuwasaidia vijana mtandaoni Source: eSafety
Utafiti mpya wa serikali ume baini zaidi ya nusu yawa Australia wenye umri kati ya miaka 12 na 17 wame shuhudia visa vya ubaguzi wa rangi au matusi kuhusi tamaduni na dini mtandaoni.
Share




