Ila sasa Bw Radjabu ame amua kuchukua hatua yakutoka nyuma ya pazia, nakuchangia kipaji chake na jamii kupitia album yake mpya atakayo zindua katika siku chache zijazo.
Radjabu:"Ni wakati wangu kutoka nyuma ya pazia"

Msanii Luundo Radjabu, aonesha album yake mpya. Source: SBS Swahili
Luundo Radjabu ni msanii ambaye amekuwa akiimba naku wasaidia wasanii wa muziki wa injili kwa miaka mingi.
Share